ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, July 13, 2013

DIASPORA WORLD CUP, BOSTON MASSACHUSETTS, TANZANIA YATOLEWA NA CAMEROON YAFUNGWA 3-1

 Timu ya Cameroon
Timu ya Tanzania
 Tanzania ikijaribu kuokoa mpira wa kona
 Wachezaji wa Cameroon wakijaribu kuwazidi maujanja wachezaji wa Tanzania.
 Libe na Rahim wakijaribu kumkaba mchezaji wa Cameroon.
 Libe akiwa amepanda
 Hatari lango la Tanzania
 Mchezaji Dotto Mnyamuru akimkaba kisawa sawa mchezaji wa Cameroon.

No comments: