Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Waziri wa Uingereza
anayeshuhulikia masuala ya Afrika Bw.Mark Simmonds,alipofika Ikulu
Mjini Zanzibar,leo asubuhi.
Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Waziri wa Uingereza
anayeshuhulikia masuala ya Afrika Bw.Mark Simmonds,alipofika Ikulu
Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Waziri wa Uingereza
anayeshuhulikia masuala ya Afrika Bw.Mark Simmonds,alipofika Ikulu
Mjini Zanzibar,baada ya mazungumzo yao leo.[Picha na RamadhanOthman,Ikulu.}

No comments:
Post a Comment