ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, July 14, 2013

GHAIFE NA MUMEWE ISSU WAFUTARISHA SPRINGFIELD, MA

Ghaife (kulia) pamoja na mumewe Issu(wapili toka kulia) katika picha ya pamoja na wageni wao Watanzania wanaoishi Massachuesetts na vitongoji walipowakaribisha kwenye futari ya pamoja ndugu, jamaa na marafiki Jumamosi July 13, 2013 nyumbani kwao Springfield, Massachusetts.
 Juu na chini ni Ndugu, jamaa na marafiki waliofika nyumbani kwa Ghaife na mumewe Issu kwenye futari ya pamoja iliyoandaliwa maalum kwa ajili ya Watanzania na marafiki zao waishio Massachusetts na vitongoji vyake.
 Ghaife (wapili toka kushoto) katika picha ya pamoja na ndugu, jamaa na marafiki.
 Juu na chini ni Issu (kanzu ya blue) katika picha ya pamoja na ndugu, jamaa na marafiki.
Ghaife na mumewe Issu katika ukodak moment

3 comments:

Anonymous said...

Mashallah mwenyezi mungu awajaalie fungu la kheri issu na ghaife kwa kufuturisha.

Anonymous said...

SAFI SANA NDUGU WANAPOKUTANA PAMOJA NA KWA UMOJA. HONGERENI ISSU NA GHAIFE KWA MOYO WA KUJITOLEA NA KUKUMBUKA WENGINE

Anonymous said...

Allah ybarek feekom. Muongezewe zaidi Gaife na issu inshallah