Mtanzania anayecheza kikapu katika Ligi ya Marekani maarufu kama NBA, Hasheem Thabeet, amekuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki wa soka kwenye Uwanja wa Taifa,Dar.
Thabeet anayecheza katika timu ya Thunder, aliibuka na kuwasalimia mashabiki wakati Taifa Stars ikivaa Uganda nao walimshangilia kwa nguvu sana.
12 comments:
kijana Thabeet naomba nisikilize kwa makini sana. nakupenda sana ndio maana nakupa ushauri huu kwani naona umri wako unazidi na nafasi ya dhahabu ulioipata unaipoteza. achana na mambo ya ubishoo- showing off, nyakati za summer ungezitumia kutafuta waalimu wa basketball kwa nafasi yako ya Center mfano Hakeem Olajuwan au Dikembe Mutombo ili wakufundishe mbinu na ufundi wa kuwa center mzuri. muda huu ungekuwa unautumia kwa intensive training ukajifua kisawa sawa tangu pale ulipoingia NBA basi angalau ungeweza kuwa kwenye first five starters wa timu unayochezea. badala ya kukimbilia nyumbani Tanzania na kufanya mambo ya showing off. angalia wachezaji masuper star kina Lebron James na Kobe Bryant how hard they workout in summer and who they are training with to gain new techniques and tactics besides the talents they are endowed with. chukua mfano wa Mutombo timu zilimwania kwa sababu ya defence yake tu na alipata tuzo ya League defensive player of the year kwa miaka miwili naye alianza basketball alipofika hapa Marekani akiwa mwanafunzi wa udaktari, seuze wewe uliyecheza college ball na kuwa pick namba 2. pick namba mbili hakuwahi kuipata hata Kobe na angalia because of his work ethic how he has been able to distance himself from most of the players in the league. kwa watanzania unaitwa nyota lakini hapa kwenye NBA wewe ni big bust na ndio maana kwa kipindi cha miaka 3 tu umeshahamishwa timu zaidi ya sita ikiwemo D League. We want to be proud of you though we can't, we want you to be among the names of renown international players, tonny parker, dirk norwitzki, akeem, mutombo na wengine na si miongoni mwa failures kama Dasanya deouf nk. Please nasisitiza achana na showing off na get into the gym to work, you are the tallest player in the NBA, show us that it matters to have that height.my sincere belief is that you have the edge and guts to be a real player if not a STAR.
Jamaaa hapati nguo zinazo mtoshea vizuri kabisa naona hako ka shati kamekuwa kadogo. Nice to see you big boy. Sasa Hasheem anachezea waapi kwani jamani? Muda umepita sasa tangu nimuone uwanjani. God bless Tanzania.
Wabongo ndivyo tulivyo swala la kimshangilia mtu hatuna hiyana hata wewe ukienda watakushangilia vilevile ila kwa hasheem bado angefanya mambo kama wakina Lebron sio kwenda bongo kufanya ubishooo!!!
Jamani mbona amuelewi maisha.kijana huko likizo (means vacation ) hata Kobe mwenyewe anakwendaga vacation nafikiri nyie pia mnakwendaga vacation .ameshacheza nba miaka mingi nafikiri he knowns what up.
Anonymous wa kwanza,since u got it all figured out,on how to be the number one NBA player basi chojoa ujitose mwananwane..jamaa kaingia NBA that's just enough pressure right there..its not easy like u think it is..Hasheem is trying his best and for that nampongeza..i don't see ubishoo wowote anaoufanya nyumbani ni nyumbani ,kusalimua familia muhimu...Mimi kama mtanzania nasema Im proud of Hasheem and I wish him nothing but the best of luck..long live Hasheem Thabeet
Dah..watanzania ni mabingwa wa kukosoa..Hivi mtu usiishi maisha? Usiende likizo? Anon wa mwanzo hapo juu napenda ku respectfully disagree with you. Hivi kwa nini hatuoni mazuri. Hasheem ana safari ndefu lakini pia tukubali kuwa Hasheem amemprove sana tangia awe traded kwenda Oklahoma City. Playoff iliyopita alipata some playing time na timu yake ya sasa ina depth ya wachezaji wazuri tena bigs. Position anayocheza Hasheem ina hawa wachezaji wafuatao(Ibaka, Nick Collison,Kendrick Perkins). Nick Collins na Perkins sio starters na ni wachezaji wazuri mno. Kama ni kum criticize Hasheem hatumtendei haki kuna wachezaji wengi wa NBA waliokuwa drafted juu ambao did not live up to their potential kwa mfano (Marvin Williams aliyetoka North Carolina, Adam Morrison aliyekuwa super star kule Gonzaga University, KWAME Brown..yes Kwame Brown) the list goes on and on. Ukiwa phenom College haimaanishi kwamba utakuja kwenye Professional level na kuendelea kuwa phenom. Angalia michezo mbalimbali..Professional sports ni ngumu mno. Kwa mfano kama unafuatilia golf, kuna dada anaitwa Michelle Wie. Huyu binti alikuwa akicheza golf na wanaume wakati bado akiwa college (Stanford University). Siku hizi anacheza full time kwenye ligi ya wanawake (LPGA) lakini havumi hata kidogo...wanashinda wakorea tu kila jumapili. Ukiangalia American football..kuna wachezaji kama akina Reggie Bush ambaye nilitarajia awe bonge la super star NFL..ni wa kawaida tu.
Sina shida na Hasheem tena nampongeza kwa sababu sijasikia skendo yeyote. Namtakia mafanikio mema na career ndefu hata kama ana average 1 ppg kwa sababu hakuna ninachomdai. Go Hasheem very proud of you!
Galagabaho ukimpenda mtu hamtaki aambiwe ukweli vacation zipo watu wanaenda kuuza sura kupo pia ila hasheeeem anauwezo wa kufanya wounders tatizo karidhika ila fainaly uzeeeni kahamishwa timu ngapi taangia aingie NBA?Kiwango cha kucheza kinapungua anatakiwa. Ajifue sio kurushwa na Ma Djs wa bills na kumwaga dolla wenzake wanamfanya bwege!!!!
Mdau wa kwanza umenena ya kweli kabisa. Hasheem usiwasikilize wapambe na washabiki wanaokumwagia misifa tu. You need to listen to the likes of anon nbr 1. They mean good to you and please please listen and then act. Anon nbr five ama hujui what it takes to hone and refine natural gifs and talents or you are simply a nay sayer not wishing Thabeet the kind of success he deserves with some serious hard work.
Usiwe na ushabiki wa ushamba na kutokujuwa.
BTW the best people who can read and understand and probably critique sportsmen, have more often than not, never have been the best of players themselves.... Check out Sir Alex Ferguson, Jose Mourinho, Asrene Wenger, Phil Jackson etc etc.
Jamaa wa kwanza kasema kweli. Hasheem ni sawa na mwanafunzi ambae ana matatizo mawili matatu kwenye masomo yake, hivyo basi wakati wa summer, siyo vibaya kuendelea kujifua(tuition). La sivyo ataendelea kuwa bench warmer kila siku. Kwenye draft thunder wamedraft center mwingine na yule dogo Orton sasa hivi alikuwa kwenye nba summer league and he played dan good. Long story short if, ya boy don't get his $h!t straight he gon b the # 4 option. When that happen, OKC wont have another option to move his @$$ somewhere else.
Anonymous # 1 Kama hatafuata ushauri wako anarudi D league.I know its hard to get to NBA, but its harder to stay in the league, that's why Kobe and other players go to Olajuwan camp during summer break. Sasa hivi Hasheem hana contract, he was signed for 1 year for only $ 8k, Kobe is due for 30mil this coming season.Anonymous #1 anajua Hasheem haendi kwenye summer camp since he was drafted that's why anaishia kulipwa less than 1million a year.Go to camp Hasheem
kwa anonymous wa july 14, 11:53, ndugu yangu ndo maana watanzania maendeleo yatakuwa ni ndoto tu kwetu. kwa maelezo yako basi mtu akihangaika kupiga kampeni kwa miaka na kisha akapata uraisi au ubunge ndio tayari keshafanya kazi ya kutosha, hakuna haja ya kuzifanyia kazi hizo nafasi walizoziwania au ...... ndugu yangu kuelekea kwenye stardom ni kazi ngumu na ndio maana hata hao mastar wamefika kuwa hivyo kwa kazi ngumu kabisa. tunampenda huyu ndugu yetu na tunaona nafasi aliyoipata ni ya dhahabu anaweza kuwa star kama hao wengine labda tu awe ameridhika na hatua aliyofikia au uvivu unamsumbua. Hasheem amka ndugu yangu achana na ubishoo get serious ingia gym ufanye kazi umri na kimo chako kinakuruhusu time is running out wake up!!
bwana Conrad kwayu, pamoja na utaalamu wako mzuri wa kutoa maelezo jibu lako kwa riwaya yako ni kwamba kama unatafuta mafanikio au kumfanya mchezaji, mwanafunzi, mwalimu n.k wapate mafanikio usiwape mifano wala kuwalinganisha na wanaofanya vibaya- failures. yaani unachekesha sana sana kwani kama ukocha wewe hufai kabisaaa! kwani ungeridhika na viwango vya wachezaji wako hata kama ni vya chini na kila siku timu inafungwa na ungekuwa unahesabu timu nyengine zilizo mbovu zaidi yako na wachezaji wenye viwango vya chini ni wangapi kuliko wako. shame on you!!sisi kumkosoa huyu Hasheem sio kama hatumpendi au anatudai au tunahitaji mapesa yake. sisi tunampenda huyu ndio maana tunamzindua aamke na kuchapa kazi. kwani akiwa na kiwango kizuri si mikataba atapata yeye. My conclusion is that you are neither a good sportsman nor a good parent, and if you were you would have strive to show real love to the kids by finding their potential and help them to do better than they do, criticize and give good advice to them on how to improve their games. yaani umenishangaza na koments zako za kumdefend pocho- failure na kumtetea ati katika timu ya Thunder kuna akina Perkins na Collison nao sio staters, badala ya kumtaja kijana wetu nini afanye awe starter. wewe humpendelei huyu kijana, nikuulize kama angekuwa mwanao kafeli mitihani ya kidato ungeendelea kumsifia na kumwambia asijali kwani kuna wengi wamefeli kuliko yeye- nadhani kwa wewe ungemchapa hasa. shame on you!!
Post a Comment