ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, July 3, 2013

HUU NDIO MUONEKANO MPYA WA RAY C-UNAWEZA KUMSAHAU

Mwanamuziki staa wa bongo fleva Rehema Chalamila a.k.a Ray C amepotea katika anga ya muziki kwa kipindi kirefu kutokana na matatizo ya matumizi ya madawa ya kulevya na baada ya kupata tiba sasa mambo yanaonekana kurudi katika hali yake ya kawaida.
Pamoja na ukimya wake katika muziki, Ray C a.k.a kiuno bila mfupa sasa anaonekana kuwa active zaidi katika mitandao ya kijamii hususan Instagram. Ray C ameshare baadhi ya picha na fans wake kupitia instagram ambazo kwa namna moja au nyingine zinaongea zenyewe (kwa kusindikizwa na captions) juu ya maisha yake ya sasa. Kwa ufupi ni kuwa Rehema anakula bata tu sasa hivi, 

2 comments:

Anonymous said...

Mtu yeyote anayebwia lazima muonekano wake ubadilike. Siyo kitu cha ajabu.

Anonymous said...

hawa wabwia unga hawaaminiki atajisifia nimekua msafi kumbe wapi haya tuone