
Anajulikana kwa Jina la Wakazi ....Ni Mtanzania Ambae yuko katika harakati za Hip Hop muda mrefu japo kipindi cha nyuma alikuwa akizifanyia hizo harakati Marekani ..ila kwa sasa Yupo Tanzania ....Jumapili hii Aburudisha katika Show ya Big Brother ya Kila Jumapili
No comments:
Post a Comment