ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, July 3, 2013

KUELEKEA USIKU WA MATUMAINI 2013: WABUNGE, MABONDIA, WASANII WALONGA NA WANAHABARI JIJINI DAR

Mratibu wa Tamasha la Usiku wa Matumaini 2013, Abdallah Mrisho 'Abby Cool' (katikati) akiongea na wanahabari leo kuhusu burudani zitakazokuwepo siku hiyo.
Mbunge wa Ngeza, Dk Hamis Kigwangala (katikati) akielezea jinsi timu yake ya Simba (wabunge) watakavyoigalagaza Yanga katika mechi yao.

No comments: