ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, July 11, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHANI MSIBA WA DKT. JUDITH KAHAMA


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kwenye Kitabu cha maombolezo ya Msiba wa marehemu Dkt, Judith Kahama, wakati alipofika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es salaam, leo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano w a Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwafariji baadhi ya ndugu wa marehemu Dkt. Judith Kahama, wakati alipofika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es Salaam, leo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu Dkt. Judith Kahama, wakati alipofika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es Salaam leo.
Makamu wa Raid Dkt. Bilal, akijumuika na waombolezaji katika msiba huo. Picha na OMR

No comments: