Balozi mpya wa Tanzania nchini Marekani Mh.Liberata Mulamula ambaye bado hajawasili hapa nchini alizungumza na Mary Mgawe wa Sauti ya Amerika na kwanza alitaka kujua alipokea vipi uteuzi wake kwenye nafasi hiyo. Kusikiliza mahojiano hayo bofya hapa.

No comments:
Post a Comment