ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, July 2, 2013

OBAMA AKIONYESHA KIWANGO!

Rais wa Marekani, Barack Obama, akipiga kichwa mpira mara baada ya kutembelea mitambo ya umeme ya Symbion iliyopo Ubungo jijini Dar es Salaam. Mpira anaoupiga Obama una uwezo wa kutoa nishati ya umeme kama kuwasha taa, kuchaji simu na mengineyo. Mpira huo unajaa unapodundwa au kuchezwa.
Rais Obama akipiga mpira.

No comments: