ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, July 2, 2013

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA WAKE WA MARAIS WA AFRIKA MASHARIKI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa wake wa marais wa Afrika Mashariki leo Julai 2, 2013 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akiwa na Rais Mstaafu wa Marekani Mhe George W. Bush na Mkewe Laura (kushoto) na Mama Salma Kikwete wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wake wa marais wa Afrika Mashariki leo Julai 2, 2013 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Wageni wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa wake wa marais wa Afrika Mashariki leo Julai 2, 2013 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
(PICHA NA IKULU )

No comments: