Kutoka kushoto ni DJ Luke, Rais mstaafu Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi, Mama Sitti Mwinyi na Kaimu balozi mama Munanka kwenye siku ya 3rd anniversary ya Vijimambo iliyofanyika siku ya Jumamosi July 6 2013.
DJ Luke akimuelezea jambo Mheshimiwa Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi kwenye siku ya 3rd
anniversary ya Vijimambo iliyofanyika siku ya Jumamosi July 6 2013.
Rais mstaafu Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi akiangalia bidhaa za mmoja wa wajasiliamali IskaJoJo. Wajasiliamali wengi walijitokeza kuonyesha bidhaa zao kwenye siku ya 3rd anniversary ya Vijimambo iliyofanyika siku ya Jumamosi July 6 2013.
Kwa picha zaidi mtembelee IskaJoJo hapa na ujipatie kopi yako ya bure.



No comments:
Post a Comment