ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 1, 2013

Rais Barack Obama akiwasili nchini Tanzania

1 comment:

Anonymous said...

Sijawahi ona Rais amepokelewa kwa upendo mwingiii na furaha kama Rais Obama!! Hakika tunampenda sana Mr Obama. Halafu alikuwa anasalimia na kucheka sana tu. naona hata yeye ametupenda sana Tanzania kuliko nchi nyingine za Africa alizo tembelea!!!