ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, July 2, 2013

RAIS BARACK OBAMA AMKARIBISHA BALOZI MULAMULA WASHINGTON, DC

Rais Barack Obama akiongea jambo na atakayekuwa Balozi wa Tanzania Marekani Balozi Liberata Mulamula wakati alipokua akiondoka Tanzania baada ya kumaliza ziara ya siku mbili.

No comments: