ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, July 11, 2013

SALEEM SOSA NANJI ASAINI MKATABA NA AB FOOTBALL CLUB YA DENMARK.

Saleem Sosa Nanji miaka 17 Mdenish mwenye asili ya Tanzania akitia saini kuichzea AB Football Club inayokipiga kwenye ligi kuu ya Denmark, Saleem Nanji ni mtoo wa Dj  Anil Nanji Mtanzania mwenye mkazi Copenhagen, Denmark.
Saleem Sosa Nanji akipeana mkono na meneja wake mpya wa AB Football Club baada ya kutia saini mkataba utakaomuwezesha kuchezea Club hiyo ya Denmark.
Saleem Sosa Nanji katika picha ya pamoja na baba yake Dj Anil Nanji.

No comments: