Watoto wa marehemu wakiwa wamesimama karibu na picha ya marehemu baba yao Patrin Kibelloh. Picha hiyo inaonyesha sahini za ndugu na jamaa ambao walijitokeza katika hitma hiyo iliyofanyiko Saugus, Ma.
Mke wa marehemu Kibelloh akiwa mwenye majonzi kwenye hitma hiyo ya marehemu mume wake kipenzi.
Akina mama wakipata ukodak wakiwa kwenye hitma hiyo











1 comment:
mzee wa blog hii naomba niulizie kama mke wa marehem ana uhusiano na Sakina kama ndio naomba mpe email yangu huyu dada nataka kuwasiliana na Sakina, shukurani
Post a Comment