ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 8, 2013

TASWIRA YA PICHA ZA HITMA YA MAREHEMU PATRIN KIBELLOH ILIYOFANYIKA HUKO SAUGUS. MA

Watoto wa marehemu wakiwa wamesimama karibu na picha ya marehemu baba yao Patrin Kibelloh. Picha hiyo inaonyesha sahini za ndugu na jamaa ambao walijitokeza katika hitma hiyo iliyofanyiko Saugus, Ma.
Mke wa marehemu Kibelloh akiwa mwenye majonzi kwenye hitma hiyo ya marehemu mume wake kipenzi.
Akina mama wakipata ukodak wakiwa kwenye hitma hiyo
Mkuu wa wilaya ya Springfield akiongea machache mbele ya ndugu na jamaa walio jitokeza kwenye hitma hiyo. Kwa picha zaidi bofya read more!

1 comment:

Anonymous said...

mzee wa blog hii naomba niulizie kama mke wa marehem ana uhusiano na Sakina kama ndio naomba mpe email yangu huyu dada nataka kuwasiliana na Sakina, shukurani