TETESI#BILIONEA BAKHRESA KUMWAGA NEEMA HII KWA WATANZANIA WOTE
Kwa taarifa tulizopata ambazo siyo rasmi zinasema kuwa bakhresa atakuja na king'amuzi chake ambacho kitauzwa Tshs.30000 na utalipia Tshs. 2000 kwa mwezi.Ina channel 100+. Mwenye habari zaidi atujuze.
1 comment:
Anonymous
said...
dah! hiyo itakuwa pouwwa sana kwa wananchi wa tanzania. maana hii system ya digital iliyoingizwa ghafla kwa watz kabla hawajapewa muda wa kujiandaa au kupewa elimu ya kutosha imewatoa baadhi ya watz katika kupata habari ambapo baadhi ya watz wasiposoma vichwa vya habari kwenye magazeti basi hawatapata habari kabisa kutokana na ving'amuzi vingi vilivyoletwa hapa nchini na baadhi ya makampuni kuuzwa bei kubwa na baadhi yao kutakiwa kulipia gharama kubwa sana kwa mwezi. kwa habari hiyo ya bilionea bakhresa itatusaidia sana sisi wa tz wa hali ya chini kupata habari.

Post a Comment