Advertisements

Wednesday, July 17, 2013

UJENZI WA BARABARA YA SAE KWENDA ITUHA JIJINI MBEYA WAKAMILIKA

Hapa ndipo barabara ilipo ishia eneo la Ituha
Hiki ni kituo cha Mabasi kilichopo Ituha
Haya ni maeneo ya Ituha
Hiki ni kituo kidogo cha Bodaboda pamoja na Bajaji eneo la Ituha
Baadhi ya Maduka yakiwa yameanza kujengwa pembezoni mwa barabara
Hii moja ya kona ambayo ni hatari , ni ya mwisho kuelekea Ituha
Kituo cha Mabasi cha Njia Panda Ituha
Huu ni upande wa barabara wa Ituha
Eneo hili ndilo mpaka kati ya Sae na Ituha
Hili ni eneo ambalo liliwatesa sana wakazi wanaoishi maeneo haya kwa kuwa barabara ilikuwa mbaya sana na kusababisha magari mengi kukwama na hata kulala kama kumekosekana msada. Lakini kwa sasa eneo hilo lipo safi 
Hiki ni kituo cha Mabasi cha Sae
Hii ni moja ya kona ya hatari ambayo ipo muundo wa S ambayo imesababisha ajali kwa baadhi ya Bodaboda ambazo zinakwenda mwendo wa kasi 
Hii ndio njia ya kuingilia kuelekea Ituha


PICHA ZOTE NA MBEYA YETU

No comments: