Advertisements

Saturday, February 28, 2015

Wawabeba Watalii Mabegani,Kama Watumwa Walivyobeba Mabwana,Huu ni Utalii au Utumwa

Nimeangalia sana picha hapo chini,sikuelewa,ni Utalii wa aina gani huu, kweli tunahitaji pesa lakini ndio kwa namba hii? hapana,tukiendekeza hela tutaenzi hata utumwa wa kikoloni.tazama mwenyewe labda utakuwa na mtazamo tofauti.

18 comments:

Anonymous said...

Huu ni mtumwa, they need to stop. Old stone age tumeipita mbali sana.
No waaaaaaayyyyy

Anonymous said...

I cudnt agree more. This is not only shameful but deamining. It perpetuates the historical indignities our people went through. Not in my country. It needs to be STOPPED immediately!

Anonymous said...

Ni wapi?. Bush it. What the hell!!. Ukiwambia waache watasema sasa wakale wapi!?. Ooh. Mama Africa.

Anonymous said...

Jamani!!! kwani hao wazungu hawana miguu? utalii gani huu? if they want to be close to nature-then they should walk tena ndio wata enjoy zaidi, lakini si kwa kbebwa na watu. Ndugu zetu acheni kuwabeba hao watu hata kama mnalipwa huu ni utumwa.

Anonymous said...

As matter of fact hili in jukumu la serikali to stop this nonsens unajua wanna nchi hawaelewi mambo kiundani hivyo ndio maana hawa wachache they take advantage

Anonymous said...

Aisee mm ningewabeba mpaka karibu na kilele cha mlima hapo najifanya nimejikwaa, sasa naachiaje machela fastaaaa!!! Wazungu wangejutraaaaaa

Anonymous said...

Mnashangaa nini? Nasikia Dar kuna saloon ya wazungu tu? Mweusi huwezi kuingia kuoshwa nywele. Mababu zetu walifanya kazi ya bure. Mi napita tu.

Anonymous said...

MKONO MTUPU HAULAMBWI. KABLA HAMJAFUNGUA MIDOMO YENU MKUMBUKE KWAMBA MONEY TALK BS WALK NA HAWA JAMAA WANACHOANGALIA NI KUWEKA MKATE KWENYE FAMILIA ZAO

Anonymous said...

Acheni hizo, hiyo ni kazi kama nyingine.Tena bila kulazimishwa.Je, wanaoigiza wakizini, wanapigana kwenye vita, wamekufa na mengine mengi ya zamani,je na wao waache?Tuelimike maana hapo hamna udhalilishaji bali kazi kama kazi nyingine.Aliyebuni hiyo machela, anayeendesha hiyo fun tourism naye pia wanafahamu wanayofanya.TUWE WAELEWA.

Anonymous said...

Samahani, huu si utumwa. Hii ni kazi. Wakati wa utumwa ulikua hupati malipo, unafanya kazi ya bwana. Au ukilipwa ni kitu kidogo tu. Jee, hujaona au hujasikia waafrika wanazoa mavi na mikojo ya wazungu wakija nchi za ulaya au wanamnawisha mzungu mavi. Jee, hii utasemaje - ni kazi au ni utumwa. Kama unalipwa vizuri ni sawa kama umeridhia. Huko Dar kukitokea mafuriko barabarani watu wanatoa hela ili wabebwe, au wewe hujaona na utasemaje huo ni utumwa au ni kazi. Wacha kasumba yako.

Anonymous said...

Hawajalazimishwa kumbeba mtu kama watumwa wa zamani.Wanaweza kuacha hiyo kazi na kwenda kulima au kufanya kazi nyingine halali.Mimi nafikiri tatizo hapa NI UTUMWA WA KIUCHUMI

Anonymous said...

This is bullshit,watanzania mbona tunarudi nyuma?huu ni utumwa,why do you have to carry them?they can walk maza fanta

Anonymous said...

huu ni utalini wa magamba ccm wache tu waendeleze.nchi ya mafisadi wanaokuja nao wache wafanya wanavyotaka ruksa ruksa.

kwanza wao wageni wanakipaumbele kuliko sisi walalahoi tupo tupo tu,hatuna wa kututetea wala kutusaidia sisi,viongozi wote mafisadi.

Anonymous said...

Hawa ni wazungu wanaojifanya wanajua usawa wa binadamu huku Marekani na nchi za ulaya. Kwa kweli huu ni utumwa na ukoloni. Tunaomba viongozi wetu waangalie kwa makini hili suala na tabia chafu ambayo inatudhalilisha. Kama ni sekta ya utalii inavutia wageni waje nchi yetu kufanya mambo kama haya, tunaomba viongozi wetu wapige marufuku tabia ambazo zinatukumbusha unyama, ukatili na uvunjaji wa haki za binadamu uliofanyika enzi za ukoloni. Je nchi yetu iko huru? Je nia na madhumuni ya hawa watu kuja nchi yetu kufanya hivi ni nini? Its so sad!!!

Anonymous said...

Naambiwa sio Tanzania jamani. Vuteni pumzi!!

Anonymous said...

BOX TUNALOPIGISHWA HUKU UHAIBUNI NA KUCHAMA VIBIBI TUTASEMA NI UTUMWA, WATOTO WANASOMA NA MAISHA YANAWAENDEA HUKO NYUMBANI KWA KUPITIA KUCHAMBISHA VIBIBI, KAZI NI KAZI, HATUWEZI SOTE KUWA LEVEL MOJA NANI ATAFANYA KAZI NYENINE, NA WAPI WENGINE WATATUMIA PESA YAO?

Anonymous said...

Mdau wa mwisho umemaliza,umesemam kweli tupu.huna mjadala.nakuonga mikono yangu yote miwili na miguu na kichwa change pia.

well spoken kuu hapo juu wa mwisho.

Anonymous said...

achene upuuzi huo, huu si utumwa hii ni kazi kama kazi nyengine. angalieni kamusi kujua tafsiri ya neno utumwa. kama wanafanya hivi kwa hiari yao ili walipwe pesa ni sawa kwani utumwa ni kumilikiwa na kufanyishwa kazi bila hiari.kwa sisi tunaoishi ulaya na marekani, tunafanya kazi zinafanana na hizi, kulea vizee kuwasafisha vinyesi, kuwaogesha, kuwabeba kenye wheel chairs kuwapikia nk. sasa tatizo liko wapi kama anakulipa kwa kazi yako