ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 7, 2013

Cocacola wamkodishia Diamond Platnumz ‘private jet’ peke yake kutoka Nairobi hadi Dar

Kufuatiaa tukio la moto lililo tokea leo kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta, JKIA jijini Nairobi, Kenya na kusababisha uwanja huo kufungwa kwa muda na kumfanya Diamond Platnumz aliyetua alfajiri ya leo akitokea Afrika Kusini kukwamwa, Cocacola wamemchukulia ndege binafsi itakayomleta Dar es Salaam.
Kupitia Instagram, Diamond ameshare picha wakati akipanda kwenye ndege hiyo ambamo atakuwa peke yake na rubani.

“Had no choice than dat, coz i miss my mum and Baby lyk crazy… @ Wilson Airport Nairobi… can’t wait to see you @rommyjones #I #MySelf #AloneInTheJet #CocaBoy …. #Cocacola Mmetisha sana, asanteni sana,”


No comments: