Diamond Platnumz usiku huu afanya ufunguzi wa video yake mpya katika hoteli ya Serena na kumpatia zawadi ya gari mstaafu wa msondo ngoma Mzee Muhidini Gurumo
Mzee Gurumo akiwa kwenye gari lake alilozawadiwa na Diamond Platnumz
Mzee Muhidin Gurumo akimshukuru Diamond kwa kumzawadia gari jambo ambalo kwake ni kama ndoto kwakuwa amestaafu akiwa hana usafiri “Yaani sijui hata mke wangu nikimwambia atanielewaje manake ni jambo la kushangaza kwangu” Alisema mzee Gurumo
Diamond akimuongoza mzee Gurumo kwenda kumuonyesha gari
Diamond akimuonyesha Mzee Gurumo gari
Akimuelekeza jambo baada ya mzee Gurumo kuingia kwenye gari
Diamond akizungumza machache kushukuru mashabiki wake na watu mbalimbali waliomsaidia kufikia hapo alipo
Diamond na madansa wake wakitumbuiza katika hafla hiyo
Wasanii mbalimbali pamoja na MaDJ walikuwepo katika hafla hiyo hapa ni Dully Sykes na MawanaFA wakiwa na baadhi ya MaDJ 
Diamond na madansa wake wakitumbuiza katika hafla hiyo
Wasanii mbalimbali pamoja na MaDJ walikuwepo katika hafla hiyo hapa ni Dully Sykes na MawanaFA wakiwa na baadhi ya MaDJ 
Maurice Njowoka kutoka Cocacola wa pili kutoka kushoto na Mwanamuziki AY wa tatu kutoka kushoto pamoja na wadau wengine wakiwa katika hafla hiyo
Mwigizaji Jaquiline Wolper naye alitia timu
Mkurugenzi wa ASET Asha Baraka akiwa na mama yake Diamond
Wadau mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo
Mzee Gurumo akihojiwa na waandishi wa habari
Hawa marafiki zangu wakakumbushia miaka kadhaa waliyofunga ndoa kwa kulishana mishikaki ilipendeza katikati ni Nancy Sumari akishuhudia
Kulia ni Irene Uwoya kushoto Salma Msangi
Kushoto AY na Salama Jabir wakipiga story na wadau mbalimbali
Kutoka kulia ni Raymond Kigosi, Irene Uwoya na JB wakiwa katika hafla hiyo.Picha Na Fullshangwe Blog

No comments:
Post a Comment