Hapa kuna list ya masanii, producers na watu wa media 166 walioalikwa na Rais Kikwete kufuturu Ikulu leo
Bofya read more kuona majina yote..
2 comments:
Anonymous
said...
orodha inasema wasanii nilidhani wangekuwa wanamuziki na waigizaji, kwa orodha hii naona wengi wao kama si wote ni wanamuziki na zaidi wa bongo fleva au kizazi kipya. siwaoni wasanii wakongwe kama kina bichuka, moshi, chidumule wala waigizaji. labda wamesahaulika au zamu yao haijafika. naamini mheshimiwa rais na wasaidizi wake watazingatia hilo kwani rais ni baba wa wote.

Wee mtoa comment wa juu hapo Moshi alishatangulia mbele ya haki miaka mingi
Post a Comment