Baadhi ya umati wa mashabiki waliojazana katika ofisi za TPBO Tandika wakishudia mabondia wao wakifanyiwa vipimo vya mwisho kwa ajili ya mchezo.
Dr madono akimpima francis miyeyusho huku ibrahim kamwe `bigright`akishuhudia upimaji huo.tayari kwa pambano lake na mzambia fidelis lipupa.
FIDELIS LIPUPA wa Zambia NA FRANCIS MIYEYUSHO waTanzania wakiwa katika pozi baada ya upimaji afya na uzito kwa ajili ya pambano lao litakalopigwa mbagala dar live idd mosi.
FIDELIS LIPUPA wa Zambia NA FRANCIS MIYEYUSHO waTanzania
Ramadhan kido akipima afya yake katika ofisi za TPBO kwa ajili ya pambano lake dhidi ya chupaki chupindi wa iringa litakalopigwa ndani ya dar live siku ya idd mosi.
No comments:
Post a Comment