Wapendwa Wote
Mnakaribishwa kwenye ibada ya Misa Takatifu ya lugha ya Kiswahili itakayofanyika katika kanisa takatifu katoliki la Mtakatifu Edward (St Edward Parish)
Mnakaribishwa kwenye ibada ya Misa Takatifu ya lugha ya Kiswahili itakayofanyika katika kanisa takatifu katoliki la Mtakatifu Edward (St Edward Parish)
901 Poplar Grove St Baltimore, MD 21216.
Jumapili Tarehe 25-08-2013
Saa nane kamili mchana (2:00 PM)
Nia ya ibada ni Kuwaombea na Kuwasimika Viongozi Wapya.
Mnakaribishwa sana na unaombwa uwajulishe ndugu na jamaa wote.
Asante sana kwa niaba ya Baba Evod Shao- simu yake ni 443-827-9741
| When | Sun Aug 25, 2013 2pm – 4pm Eastern Time |
| Where | St Edward Parish 901 Poplar Grove St Baltimore, MD 21216 (map |
Ndugu Pius Mutalemwa 301-404-6901 au Dan Kuffar 301-847-0940
1 comment:
Lugha gongano. Kusimika!!!!!.
Post a Comment