ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, August 24, 2013

Misa ya Kiswahili - Kusimika Viongozi Wapya kesho Jumapili

Wapendwa Wote
Mnakaribishwa kwenye ibada ya Misa Takatifu ya lugha ya Kiswahili itakayofanyika
katika kanisa takatifu katoliki la Mtakatifu Edward (St Edward Parish)
901 Poplar Grove St Baltimore, MD 21216.  
Jumapili Tarehe 25-08-2013 
Saa nane kamili mchana (2:00 PM)
Nia ya ibada ni Kuwaombea na Kuwasimika Viongozi Wapya.
Mnakaribishwa sana na unaombwa uwajulishe ndugu na jamaa wote.
Asante sana kwa niaba ya Baba Evod Shao- simu yake ni 443-827-9741
WhenSun Aug 25, 2013 2pm – 4pm Eastern Time
WhereSt Edward Parish 901 Poplar Grove St Baltimore, MD 21216 (map
Kwa mawasiliano zaidi au maswali, Wasiliana na:-
Ndugu Pius Mutalemwa  301-404-6901   au     Dan Kuffar  301-847-0940



1 comment:

Anonymous said...

Lugha gongano. Kusimika!!!!!.