Kucheka ni afya na pia kuna uwezekano wakuongeza muda wako wakuishi kwa kicheko cha furaha inayomtokana na kitu au mtu akakusababishia kucheka. Picha hii nimeipenda tu jinsi ya kila mtu alivyo na pozi la kicheko. Mambo ya vijimambo hayo pitia na wewe japo usmile kidogo najua unge tamani kujua kicheko hicho kilitokana na nini na wapi. Lakini wenyewe wakiona picha hii watakumbuka wapi na ninani alisababisha wao kufurahi kama hivi.
2 comments:
Futari ya Balozi tamu mpaka kichogoni!
Futari ya Balozi tamu mpaka kichogoni!
Post a Comment