Wadau katika picha ya pamoja walipokua Seska Lounge Rockville, Maryland Jumamosi Aug 10, 2013.
David kushoto katika picha ya pamoja na mdau.
Juu na chini ni wapendanao wakipata picha ya pamoja.
Msupuu akipata picha Jumamosi Aug 10, 2013 Seska Lounge iliyopo Rockville, Maryland.
Wadau wakipata picha ya pamoja
Msupuu katika picha ya pamoja na beste yake.
Wadau katika picha ya pamoja
kwa picha zaidi bofya read more
2 comments:
it seems Marylands is the place to be, naona kila mtu yuko happy huko, si sawa na wakazi wa miji mingine. Well done guys.
Hizo ni pozi tu katika picha, wana matatizo yao kibao!! Trust me, its not the place to be you could be anywhere ndugu na ukawa happy na ukapiga picha kawaida tu.
Post a Comment