Habari zilizotufikia muda huu Sheikh Ponda ajeruhiwa kwa risasi mjini morogoro katika Mkutano wa Muhadhara, Machafuko hayo yalitokea

Muhadhara huo wakati wakeielekea Katika Msikiti wa Mungu mmoja wakati wako njiani walipigwa mabomu ya machozi na Kupigwa Risasi na ndipo Sheikh Ponda alipo jeruhiwa…Hadi sasa Haijajulikana Wapi alipo

No comments:
Post a Comment