Advertisements

Wednesday, August 14, 2013

WADAU HII IMEKAAJE ?

KATOONI KWA IDHINI YA MDAU WETU MARCO TIBASIMA

1 comment:

Anonymous said...

Watanzania tunajihukumu wenyewe., tumekuwa majaji wa kuhukumu na lolote lililo jema hatulipi kipao mbele ila chafu ndio tunakimbilia.... tunatakiwa kujikwemua kwenye utamaduni wa kutojithamini na kaunza kutoa kipao mbele kwa hata yame madogo tunayofanikiwa na kutokomeza ujinga miongoni mwetu. Kila taifa kina machafu yake ila hawatumii machafu kujikuza ila kujirekebisha na masafi kuyanufaisha kwa jamii.
Ni hayo tuu maoni yangu mdau!!!