Advertisements

Wednesday, August 14, 2013

WAISLAMU WAGEUZA KITUO KIKUU CHA POLISI MOROGORO KUWA SEHEMU YA SWALA

Juu na chini ni Waumini wa dini ya kiislamu Manispaa ya Morogoro wakiwa katika ibada ya swala ya adhuri eneo la kituo kikuu cha polisi mkoa wa Morogoro jana wakati viongozi wa dini hiyo wakiwa na viongozi wa jeshi la polisi katika tume huru ya jinai iliyounda na makao makuu ya jeshi hilo kuchunguza tukio la kujeruhiwa kwa Sheike Ponda Issa agosti 10 mwaka huu katika uwanja wa shule ya msingi Kiwanja cha Ndege mara baada ya kumalizika kwa kongamano la kidini la idd pili mjini hapa, kwa kitu kinachodhaniwa kuwa ni risasi.
Picha Zote na Juma Mtanda

No comments: