salaam. nilikua naulizia jinsi gani tunaweza kwasiliana na huyu dada kama tunataka kusaidia katika kampeni hii kwa siku zijazo. mimi ni mtanzania nnayeishi Georgia, nayelewa matatizo ya ugonjwa huu kiundani nna mtoto mwenye matatizo hayo. hivyo ningependa kuungana na huyo mwenzetu ili tuwasaidie wenzetu huko Tanzania. Labda wangeweka Contact ili wale tuliopo nje ya texas tujue jinsi ya kusaidia. Asante
2 comments:

Jamani na mjua huyu dada, unaweza kuwasiliana naye: maptxtz@gmail.com. Huwa mwepesi kweli kujibu.
Post a Comment