kwa picha zaidi bofya soma zaidi
BENDI ya Jahazi Modern Taarab usiku wa kuamkia leo imefunika vilivyo katika onyesho lao la nguvu lililofanyika ndani ya Ukumbi wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam.
Shoo kali kutoka kwa Mzee Yusuf na kundi lake ilizikonga nyoyo za mashabiki na kuwaacha roho safi.
(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY / GPL)
1 comment:
jamani nduguzetu watanzania angalieni miili hiyo. unene sio mzuri kiafya
Post a Comment