ANGALIA LIVE NEWS

Friday, September 20, 2013

KWELI KUTONGOZA KIBOKO ..HAKUNA CHA MASIKINI BOSS WALA BAUNSA WOTE MATONYA KWA PENZI KAZIKWELI KWELI

Usicheze na mapenzi, katika kutongoza watu huonyesha unyenyekevu utafikiri kuomba kazi. Wengine hata hufikia ku kneel na hata kulia. Kuna wengine hufikia hata kunywa sumu kisa kukataliwa. Mtongozaji ni zaidi ya matonya. Cha ajabu sasa mtu huyohuyo ukimkuta ofisini kwake mfano kama ni baunsa anasukuma watu hovyo, kama ni bosi ni mkali balaa kwa surbordinates. Ule unyenyekevu, upole, hauonekani tena! 

Kwa maana nyingine kila mtu anaweza kuwa mnyenyekevu, kuwa na adabu, kuwa na heshima wakati wote kama vile anatongoza.

No comments: