ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 7, 2013

Misa ya Kiswahili ya Katoliki ya Kuwasimika Viongozi Iliyofanyika Baltmore

Padri Shao akiongoza misa ya Kiswahili ya kusimika Viongozi iliyofanyika Baltimore na kuhudhuriwa na waumuni wa dhehebu hilo wanaoishi DMV.
Waumini wa misa ya Kiswahili wakifuatilia jamba kutoka kwa padri Shao.
Misa ya kiswahili ya kuwasimika viongozi ikiendelea.
Padri Shao akielekeza jambo.
Juu na chini misa ikiendelea.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: