Mama Salima Moshi akimpokea mwamuziki AWILO LONGOMBA alipowasili uwanja wa ndege kushoto ni mdhamini Maarufu wa wanamuziki wengi kutoka CONGO "SHENTEMBA " nkulia ni mtoto wa mwanamuziki maarufu marehemu LOVY LONGOMBA
Mama Salima akiwa kwenye gari la wazi akiwa na AWILO LONGOMBA wakizunguuka mitaa mbalimbali ya jiji la DAR kulia kwa Awilo ni mcheza shoo wake
Mama salima akiwa na mwanamuziki KANDA BONGOMAN alipofika Tanzania
Mama Salima akisalimiana namsanii maarufu filamu MITHUN CHAKRABORTY Kilimanjaro Hotel enzi hizo alipowasili Tanzania kwa mara ya kwanza kutokea INDIA
1 Jinsi wanavyopata wadhamini
2 Unadhifu na Ushambuliaji wa jukwaani yaani jinsi ya kukonga nyoyo
3 Wanathubutu maana mara nyingine mambo hayaendi vizuri Tumeshuhudia baadhi yao kutupiwa vitu kwenye Mahoteli na wengine kukosa hata nauli ya kurudia kwao lakini hawakati tamaa huwa wanarudi tena
4 Pia wameweza kujiongezea umaarufu Kwani kuna waTanzania wengine waliweza hata kuanzisha mashindano ya kumtafuta KANDA BONGOMAN wa Tanzania Kwa kuiga anavyovaa na anavyocheza
5Tusisahau SERIKALI kupata kodi katika viingilio
6 Pia tunapowaangalia baada ya miaka kadhaa wanakuwa wapi? Hapa tumeshuhudia wengine wanaanguka na wengine wakieendelea wapo wengi wamefanya vizuri leo nitamuelezea Msanii Maarufu wa FILAMU Aliyetembelea Tanzania akivuma na filamu yake wakati huo "DISCO DANCER" si mwingine ni MITHUN CHAKRABORTY Mithun Ameshinda AWARDS nyingi Ana kipindi kwenye Television cha kupromote wasanii chipukizi na yeye ni Judge Jitihada zake za kukuza Vipaji na kuvitafuta vipaji vya wasanii chipukizi ni MFANO WA KUIGWA
No comments:
Post a Comment