Vijimambo ilivutiwa na statue hii inayopatikana Harvard University Boston. Statue hii inamaana kubwa sana kwa sababu huyo ndiyo Harvard mwenyewe. Ukiangalia upande wa kiatu cha mguu wa kulia uko tofauti na kiatu cha kushoto utajiuliza kwa nini. Jibu ni kwamba ukiwa na ndoto ya kusoma University hii basi unatakiwa kugusa mguu huu hili katika mbio zako za kusaka elimu ya juu siku moja iangukie hapa. Kwaiyo ukigusa kwa imani na maombi ya ndoto zako za kusoma hapa huenda ukafanikiwa na kupata nafasi ya kuangukiwa na madarasa ya elimu ya juu katika majengo haya ghali kabisa duniani.
Hapa ni Cambridge city hall Boston
Hapa ni Science Center Harvard University Boston kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Harvard Square Boston MA
Jamaa ni kivutio sana katika eneo hili la Harvard Square amevaa ngoma mwili mzima na ngoma hizo uzipiga kwa ufundi na utundu na kusikika maridadi kabisa live bila chenga.
Hapa ni Massachusetts Institute of Technology Boston
Ny akiwapata ukodak na Dr Lewy mmoja wa wanafunzi wa Harvard University
No comments:
Post a Comment