ANGALIA LIVE NEWS

Friday, September 20, 2013

Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Akutana Kwa Mazungumzo na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena L.Tax IKULU Zanzibar


  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana  na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena L.Tax,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana asubuhi  baada ya mazungumzo yao.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena L.Tax,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana asubuhi kumuaga  Rais, baada ya kuteuliwa kushika wadhifa wake huo.Picha na Ramadhan Othman-IKULU-Zanzibar

No comments: