ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 1, 2013

SAKATA LA MADAWA YA KULEVYA, DIAMOND APOKONYWA PASSPORT..MASANJA MKANDAMIZAJI NAYE YUPO


Ni mwendelezo wa Sakata la unga ambalo sasa ni janga kwa taifa letu. Orodha zinaendelea kutoka na kuwekwa wazi huku bunge likivutana kuhusu sakata hlo. 
Tetesi za kutoka ndani zinasema msanii wa muziki Naseeb Abdul au Diamond ambaye alijitapa wazi mbele ya kamera za habari kuwa anamiliki ukwasi zaidi ya bilioni moja kwenye akaunti yake, nyumba 5 za thamani Kijitonyama na Mikocheni na anatumia simu 6 za thamani ambazo zipo hewani muda wote tayari amenyang'anywa hati yake ya kusafiria na baadhi ya simu zake katika mwendelezo wa uchunguzi juu yake unaofanywa na vyombo vya dola. 
Msanii pia wa maigizo Masanja Mkandamizaji ambaye anadaiwa kumiliki mkwanja mrefu na nyumba za thamani kubwa mpaka magari naye tayari ametajwa kuhusika na sembe. 
Episode inaendelea,tuungane katka vita hii.

SOURCE: Jamii Forums

4 comments:

Anonymous said...

Yatajwe majina ya mawaziri, wabunge, wafanyabiashara kwanza hao ndio big fish

Anonymous said...

thats right mdau umenena kisawa sawa watajwe mawaziri, wabunge, wafanyabiashara maarufu na hata wakuu wa nchi watoto wao wanatuletea za kuyayusha wanadhani hatuwajui,wanawaonea small fish big fish wana sepa mitaani na majumbani kwa raha zao utafiki mungu watu.
watajeni kama kweli mnataka kutokomeza madawa ya kulevya siyo hawa small fish tumeshakoka kusikia miyayusho yenu

Anonymous said...

Kumekuchaaaaa na makuchaaaa yake wapenzi wasikilizaji na wasomaji wa Vijimambo Blog. Sasa tuna taka marina yooooote ya Wauza sembe nchini, wakiwamo wabunge, mawaziri na watoto woooote wa vigogo. Hakuna kuwapa nafaasi wala kuwaogopa! Kama tumeamua kula nao sahani moja Baasi tusirudi nyuma, tusonge mbeele. Tuwakabeeee koo woote. Wanatutia aibu sana nchi yetu. Mwakyembe usirudi nyuma endeleeea kuwawashia moto mpaka waungueeee kabisaaaa! Wanatuaibisha sana. Tanzania imekuwa Majanga kwa madawa ya kulevyaaaa!!!!!!!!

Anonymous said...

Mmmhh! Yaani ameonekana Diamond na Masanja tu...Mbona sielewi somo hapo....vigogo wataje na hatua zichukuliwe....acheni utani....Aibu tupu!!!!