UHURU KENYATA AONGEA NA TAIFA LA KENYA KUHUSU UGAIDI ULIO TOKEA LEO HUKO KENYA
1 comment:
Anonymous
said...
Dj luke nilidhani kuishi kwako nje kungesaidia kupanua mawazo na kujiamini lakini kumbe bado ni uwoga wa ujinga umekujaa. Nilitoa maoni constructive ya posts za ubalozi wa tz-usa hukuyatoa. Sasa sijui ni NJAA inayokusumbua au uoga wa kijinga. Nilijua u mtu makini na umeanzisha blog kupokea maoni hasi na chanya yenye kujenga lakini naona bado uko kwenye zama za ujima wa kimawazo.
Badilika ndugu uko first world ili uweze saidia ndugu zako waliopo 3rd world. Hata kama uta-delete msg imekufikia

Post a Comment