ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, September 4, 2013

Vituko vya Kinshasa ! Tena katika matanga MSIBANI !


Kweli Tembea ujionee !
Kinshansa au KIN kama wanavyopaita wenyeji wa mji huo,ni mji uliojaa vioja vya kila aina kama kawaida ya miji mingi barani Afrika, lakini kinacho shangaza panapotokea msiba
wakazi wa mji huo wa Kinshansa wao wanaombeleza ki aina yao yaani Sebene kama kazi kitu ambacho kinapingwa na wakazi wa miji mingine nchini DRC lakini jionee mwenyewe
matanga ya Kinshasa aka KIN

No comments: