ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, September 4, 2013

MIYEYUSHO VS MOMBA SASA KUPAMBANA SEPTEMBER 29 MANZESE


Bondia Fransic Miyeyusho kushoto akitunishiana misuri na Sadiki Momba wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika September 29 katika ukumbi wa Friends Coner Manzese Dar es salaam Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com


NA MWANDISHI WETU
MABONDIA Fransic Miyeyusho na Sadiki Momba wametambulisha mpambano wao wa kirafiki wa raundi 8 utakaofanyika katika ukumbi wa Friends Coner Manzese Dar es salaam

Akizungumza mmoja wa waratibu wa mpambano huo Ramadhanu Uhadi 'Rama Jah' amesema mpambano huo uliokuwa ukisubiliwa na mamia ya mashabiki wengi baada ya mabondia howo kutambiana kwa mda mrefu bila ya kuwepo na mpambano wao

ameongeza kwa kusema siku hiyo pia kutakuwa na mipambano mingine ya utangulizi likiwemo ya vijana chpkizi na wakongwe vile vile watakuwepo
baadhi ya mabondia watakaopambana siku hiyo katika utangulizi ni

Mussa Sunga atakaemenyana na Fadhili Awadhi raundi 6 uku bondia Iddy Mnyeke kotoka kambi ya Ilala akimenyana na Keis Amari mpambano wa raundi 4 na Ambukile Chusa atapambana na Fadhili Kambi

No comments: