Urban Pulse Creative Media wakishirikiana na Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza wanakuletea sehemu ya tatu ya Ziara ya Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipokutana na Watanzania waishio Nchini Uingereza Agosti 2013.
Asanteni,
Urban Pulse Creative Media
No comments:
Post a Comment