
Atufigwege Mponi akiwa na kipenzi mke wake Neema baada ya kufunga ndoa Mkoani Mbeya Jumamosi Oct 19, 2013 na kuhudhuriwa na ndugu na jamaa kutoka kila pembe ya Tanzanria. Bwn. Mponi ni Mkaazi wa Maryland nchini Marekani.

Bi harusi akiingia ukumbini siku ya Send off yake iliyofanyika Dar es Salaam siku ya Ijumaa Oct 11, 2013

Bi harusi Neema akifanya mambo yake.



1 comment:
Halo Halo ya Mponi!!! Hongera na wifi Karibu DC
Post a Comment