MTANANGE WA WATANI WA JADI KIPINDI CHA KWANZA KINAENDELEA YANGA WANAONGOZA KWA GOLI 2-0
Mechi ya Watani wajadi inaendelea sasa hivi ikiwa kipindi cha kwanza ikiwa Yanga ipo mbele ya goli 2-0 goli la kwanza likiwa limefungwa na Mrisho ngasa katika dkk ya 14 na goli la pilia likiwa limefungwa na Kiiza mchezaji wa Yanga toka Unganda
No comments:
Post a Comment