ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 23, 2013

AyoTV : Ommy Dimpoz akizungumzuga gari lake jipya Mark X (+playlist)

Video ya Exclusive interview na Ommy Dimpoz akiongea na kulionyesha gari lake alilonunua
Staa wa hit single za Nainai, Baadae, Me and You na Tupogo… Ommy Dimpoz amethibitisha kwamba pamoja na kuonyesha picha za gari lake alilonunua kutokana na kazi ya muziki peke yake, kwa sasa yuko kwenye ujenzi wa nyumba mbili.

Nyumba hizi anazozijenga kwa mpigo, amesema atataja zinakojengwa na kuzionyesha on AyoTV pindi tu zitakapomalizika, pesa yote hiyo ni kutokana na bongofleva tu ikiwa ndio kazi pekee anayoifanya.

No comments: