ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 24, 2013

AyoTV: Shabiki Steven wa Yanga kuhusu mechi ya Yanga vs Simba October 20...

Baada ya kukosakosa kujinyonga kutokana na kuweka ahadi yake kwenye gazeti la Mwanasport kwamba kama Yanga ikifungwa anajinyonga, shabiki maarufu wa Yanga bwana Steve alikutana na AyoTV mara baada ya mechi. Steve anasema pia anampenda sana Wema Sepetu na kama wangeshinda mechi hii alimuandalia Wema Sepetu jezi ya Yanga ambayo imeandikwa jina la Wema Sepetu na kukamilisha furaha yake angempa siku hiyohiyo. Mambo mengine kama unavyomjua Steve, enjoy mahojian
o yake na AyoTV.

No comments: