ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 24, 2013

Megamix ya Steve shabiki wa Yanga siku ya mechi ya Yanga

Camera ya AyoTV siku ya mechi ya Simba na Yanga ilifanikiwa kupata matukio kadhaa nje ya uwanja wa taifa ikiwemo ajali ya pikipiki. Pamoja na ajali hiyo pia shabiki maarufu wa Yanga baada ya kukosa ticket aliungana mashabiki wenzake kuangalia mechi nje ya uwanja, sasa yaliyotokea hapo nje yote yapo kwenye hii video.

No comments: