Video Queen wa muziki wa Bongo Fleva,Agnes Gerlad ‘Masogange amerejea nchini akitokea nchini Afrika ya Kusini baada ya kusekwa rumande kwa tuhuma za kukamatwa na madawa ya kulevya.
Kupitia account yake ya Instragram Agness amepost picha akiwa eirport na kuandika kuwa …am comng homeeeee… |
Agness na mdogo wake Merisa Edward miezi kadhaa iliyopita walikamatwa na madawa ya kulevya nchini na baadaye kuachiwa kwa dhamana haijajulikana kama wamerudi wote…
2 comments:
Kama ni kweeli alikamatwa na madawa ya kulevya/sembe na aakachiwa katika manshari ya kutatanisha Baasi atarudia tu tena kuyauza na kuyasambazaaa kwasababu hakupata hadhabu ya kumfunzaa !!! Wahenga walisema " asiyefunzwa na mama yake hufunzwa na ulimwengu" Yeetu macho na masikio. Aacha ni lale.

Post a Comment