Baada ya kurudi tu kutoka kwenye ziara ambayo ilihusisha kuhutubia kwenye mkutano wa Umoja wa mataifa, Rais Joyce Banda amefikia uamuzi wa kuvunja baraza lake la mawaziri. Moja ya sababu za msingi ni tuhuma zinazotolewa juu ya matumizi mabaya ya serikali yake, japokuwa maamuzi hayo yalivyofanywa haikutajwa sababu moja kwa moja ya kuvunja baraza hilo.
Baada ya kuvunjwa baraza hilo ambapo bado haijajulikana lini litatangazwa baraza jipya.
No comments:
Post a Comment